Bado naendelea kukupa headlines za staa wa soka wa klabu ya Real Madrid ya Hispania na timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo, staa
huyo anafahamika kwa jitihada zake uwanjani na mara kadhaa amewahi
kusikika akikiri kuumizwa pale inapotokea amekosa tuzo fulani hususani Ballon d’Or.
Hii nimekutana nayo mtandao mtu wangu wa nguvu nikaona sio vibaya nikikusogezea kipande cha video cha ‘documentary ya Ronaldo’ akiimba wimbo wa Rihanna wakati akiwa katika ndege na wachezaji wenzake wa timu ya taifa ya Ureno. Katika kipande hicho Ronaldo anaonekana kutekwa na hisia na maneno ya wimbo huo wa Rihanna.
Kipande cha Video Ronaldo akiimba wimbo wa Rihanna

Note: Only a member of this blog may post a comment.