Friday, November 6, 2015

Anonymous

Cristiano RONALDO Kathibitisha Kuhusu Kuiwazia MAN CITY...Je, Pesa Tatizo Kwake? Majiu Yapo Hapa....

Kwa mara nyingine tena nakutana na headlines zinazomtaja staa wa soka Cristiano Ronaldo.. ana mpango wa kuhama? Jibu ni NO !! Ikitokea anahama, tutegemee atavaa jezi ya Manchester City ??

Majibu kayatoa kwenye sentensi chache tu, anathibitisha kwamba hana mpango na Man City hata kidogo >>>> ‘Mnadhani pesa itaweza kubadili akili yangu wakati huu nikiwa na umri wa miaka 30? Sidhani kama inawezekana… kama ni ishu ya pesa basi ningeenda Qatar ambako nadhani wana pesa nyingi zaidi kuliko Man City‘ >>> Cristiano Ronaldo.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.