Mwenyekiti wa Baraza la Wazee
Mkoa wa Dar es Salaam, Hemed Mkali (kulia) akizungumza katika mkutano na
waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu uamuzi wa baraza hilo wa
kumpongeza Rais Mteule wa Tanzania, Dk. John Magufuli kwa ushindi
alioupata katika katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika nchini Oktoba 25.
Kutoka kushoto ni Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa mkoa huo, Juma Simba na
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida ambao
walikuwa wajumbe waalikwa.
Katibu
wa Baraza la Wazee Mkoa wa Dar es Salaam, Mohamed Mtulia akizungumza
katika mkutano wa kumpongeza Dk Magufuli kwa ushindi.
Wajumbe wa Baraza la Wazee Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa katika kikao.
(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA, KAMANDA WA MATUKIO BLOG)

Note: Only a member of this blog may post a comment.