Katibu Tawala Mpya wa Mkoa wa
Lindi Bwana Ramadhani Kaswa akila kiapo mbele ya Rais Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam jana.
Katibu Tawala Mpya wa Mkoa wa
Lindi Bwana Ramadhani Kaswa akipongezwa na Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam jana.
(Picha na Freddy Maro)

Note: Only a member of this blog may post a comment.