Thursday, October 29, 2015

Anonymous

ZITTO KABWE Achukizwa na Yaliyotokea Zanzibar ya Kufuta Uchaguzi..Atoa Kauli Kali..


KAULI YA ZITTO KABWE KUPITIA AKAUNTI YAKE YA FACEBOOK HII HAPA
"Tume kufuta matokeo ya uchaguzi Zanzibar ni Kitendo cha kulaaniwa na wapenda demokrasia wote. Hii ni chanzo cha vurugu nchini. Kuna haja gani ya demokrasia sasa??"
Je, wewe mdau una maoni gani?! Shuka hapo chini tuambie tafadhali

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.