Thursday, October 29, 2015

Anonymous

Licha ya DK MAGUFULI Kushinda Urais wa Tanzania Kuna Hili Muhimu Kujua Leo Kumuhusu!

Mgombea wa urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli.
LEO  ni siku ya kuzaliwa ya mgombea wa urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli. Tunakutakia maisha marefu na yenye mafanikio kwa Watanzania wote.
Dkt John Pombe Joseph Magufuli alizaliwa siku ya Alhamis, Oktoba 29, 1959. Tunakutakia maisha marefu na yenye mafanikio kwa Watanzania wote.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.