Saturday, October 31, 2015

Anonymous

Yu Wapi TUNDU LISSU Wakati Huu wa Madai ya Kuporwa Kura na Kufutwa Uchaguzi Zanzibar?

Nimeshangazwa na ukimya wa yule Mwanasheria nguli wa CHADEMA katika utata mkubwa wa kisheria unaogubika taifa katika suala la uchaguzi Zanzibar na pia madai ya UKAWA kuibiwa kura. Kulikoni kwa mwanasheria huyu nguli? Hata kipindi cha mwisho mwisho cha kampeni za kitaifa UKAWA, hakutokea hadharani kama ilivyokuwa mwanzoni mwa kampeni hizo.
 Je kuna dots za ku-connect?

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.