Friday, October 9, 2015

Anonymous

Waziri wa Nishati na Madini Simbachawene Awashukia MAGUFULI na LOWASSA Kwa Kutumia Mgao wa UMEME Kujipatia Kiki!

Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene amewataka wanasiasa kutotumia mgawo wa umeme kama turufu ya kisiasa. Waziri Simbachawene amesema umeme ni jambo la kitaalamu na si la kisiasa. Amesema uzalishaji na usambazaji wa umeme ni suala la kitaalamu.
Waziri Simbachawene ni kama amewajibu wagombea wa Urais Edward Lowassa na Dr. Magufuli. Ni wagombea hao waliozungumzia mgawo wa umeme kwenye mikutano yao ya kampeni. 

Wote wawili waliwapiga mkwara Maafisa wa TANESCO kwa kukatakata umeme.
Waziri amempinga hadharani mgombea wa chama chake,Dr. Magufuli. Siasa kweli ni usanii!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.