Wananchi Tarime Wawasha Mishumaa na Kukesha Kulinda Bango la Edward LOWASSA
Pichani ni wananchi wakiwa wamewasha mishumaa jana majira ya saambili usiku katika eneo la jembe la Nyundo Tarime mjini wakilinda mabango ya mgombea urais kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Edward Ngoyai Lowassa ambaye Alikuwa Katika Wilaya hiyo leo.
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
on Sunday, October 11, 2015
Note: Only a member of this blog may post a comment.