Sunday, October 11, 2015

Anonymous

Mgombea Mwenza Kutoka Chama Cha Mapinduzi CCM Akinukisha Sengerema [PICHAZ]

Mgombea mwenza kutoka chama cha mapinduzi CCM Bi. Samia Salum Suluhu akiwa katika mkutano Sengerema. Bi. Samia Salum Suluhu amezidi kukubalika na wakina mama, ameahidi kuhakikisha Wakina mama wanapata haki zao za msingi. Ameahidi kushirikiana vizuri na Mgombea Urais Dkt. Magufuli kuhakikisha watanzania kwa ujumla wanapata maendeleo ya kweli bila kubagua Chama, Kabila wala Dini.



USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.