Labda tudadavue namna napata shida sana kupata majawabu ya ahadi hizi.
Amesema sijui mambo makubwa 11 ambayo ndani ya siku 100 yatakuwa historia. Jamani labda tujaribu kuwa tunamkumbusha ahadi hizi anaweka kumbukumbu kichwani au anatoa tu mdomoni?
Sijaona hata Marekani hawajawahi kutoa ahadi kama hizi. Kwanza bajeti ya serikali ya mwaka huu imeshapitishwa.
Pili vyanzo vya hela vyote vimeshatengewa matumizi maalum. Mapato ya kodi yote.
Tatu elimu bure anayosema kuanzia January itaanzaje? Kwa sababu shule hazina walimu wa kutosha kwanza, shule hazina madarasa ya kutosha, shule zinahitaji materials na mambo mengi ya maandalizi. Sasa elimu toka Nursery mpaka University kutoka bajeti ipi?
Amesema sijui mambo makubwa 11 ambayo ndani ya siku 100 yatakuwa historia. Jamani labda tujaribu kuwa tunamkumbusha ahadi hizi anaweka kumbukumbu kichwani au anatoa tu mdomoni?
Sijaona hata Marekani hawajawahi kutoa ahadi kama hizi. Kwanza bajeti ya serikali ya mwaka huu imeshapitishwa.
Tatu elimu bure anayosema kuanzia January itaanzaje? Kwa sababu shule hazina walimu wa kutosha kwanza, shule hazina madarasa ya kutosha, shule zinahitaji materials na mambo mengi ya maandalizi. Sasa elimu toka Nursery mpaka University kutoka bajeti ipi?
Note: Only a member of this blog may post a comment.