Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamesema
watakwenda mahakamani kupinga matokeo ya ubunge majimbo ya; Iringa
Mjini, Mikumi, Ndanda na Kawe.
Akizungumza na wanahabari jijini Dar es
Salaam, Mjumbe wa kamati ya Kampeni ya CCM, January Makamba amesema kuwa
CCM haijaridhishwa na utaratibu wa ukusanyaji na ujumlishaji wa matokeo
katika baadhi ya majimbo.
Taarifa yote soma hapa chini
Video ya January Makamba akiongea hii hapa, bonyeza play kuicheki na pia waweza ipakua kwa kubonyeza download
Note: Only a member of this blog may post a comment.