Baadhi ya wanachama wa CCM walikutana
kwa pamoja katika Ofisi za Chama hicho jioni ya October 29 2015
kusherehekea ushindi iliomtangaza Dk. John Magufuli kuwa Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ataongoza Serikali ya awamu ya tano.
Video ya kutoka Lumumba Dar es Salaam hii hapa wanaCCM wakisherehekea ushindi wa Dr. Magufuli.
Note: Only a member of this blog may post a comment.