Wednesday, October 14, 2015

Anonymous

VIDEO: Umewahi Kuyaona Mashindano ya Wanaume Kubeba wake zao? Cheki Video Yake Hapa..


Ukiambiwa kuna aina nyingi ya Mashindano Duniani basi ujue kwamba yako ya aina nyingine ambayo wewe hujawahi kuyasikia wala kuyashuhudia, hii ya wanaume kubeba wake zao je?

Baba kwenye harakati za kuusaka ushindi na mpenzi wake shingoni.
Iko hivyo mtu wangu, wanaume wa Florida, South Carolina na Colorado Marekani walijipanga kabisa kushiriki Mashindano hayo ya mwaka, hii ilikuwa October 12 2015, kazi sio rahisi.. unakatisha kwenye magogo, mchanga, madimbwi ya maji, na washindi pia kuna zawadi zao ikiwemo pesa ambayo itazidishwa mara tano ya uzito wa mwanamke na pia kwenda kushiriki Mashindano ya Dunia ya kubeba wanawake ambayo yatafanyika Finland.
Unaweza kucheki kipande cha Video mashindano hayo ilivyokuwa.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.