Wednesday, October 28, 2015

Anonymous

UTATA: Unazionaje Kauli Hizi za MAALIM SEIF na Jaji LUBUVA wa NEC Kuhusu Uchaguzi wa Zanzibar Kufutwa?!

Uchaguzi huu,Vile Vile unaathiri uchaguzi wa Jamhuri ya Muungano.Kwamba Wapiga Kura Wa Zanzibar Wote Walishiriki uchaguzi wa jamhuri ya muungano.

Lakini anayeendesha Uchaguzi wa Muungano Hapa (Zanzibar) Ni ZEC kama wakala wa NEC.

Sasa Ukisema kwamba unafuta Uchaguzi Zanzibar,Unafuta Uchaguzi wa RAISI wa jamhuri ya Muungano kwa upande wa Zanzibar. Unafuta Uchaguzi wa wabunge kwa upande wa Zanzibar.
Kwa hiyo basi,Huwezi ukamuapisha raisi atakayechaguliwa kwa upande mmoja wa Muungano akawa ni Raisi wa TANZANIA. Na Akiapishwa Huyo atakuwa ni Raisi wa TANGANYIKA.

Vilevile Huwezi kuwa na Bunge la Muungano Bila ya Wabunge kutoka ZANZIBAR. Wakikutana Peke Yao Itakuwa Ni Bunge La TANGANYIKA......." ~Maaalim Seif Sharif Hamad

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.