Wednesday, October 28, 2015

Anonymous

MTANGAZAJI Sam Mahela Pongezi Kwako, Hongera kwa ITV Pia!


Huyu kijana anajitahidi kwa kweli. Amenifanya niangalie zaidi ITV. Anakuletea kitu live, penye kukimbia anakimbia hata kwenye mabomu. Yupo safi kwa kweli.
Nakuombea Mungu akuinue...

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.