Sunday, October 25, 2015

Anonymous

Tazama Zoezi za Upigaji Kura Linavyoendelea Mikoa ya Dar, Arusha na Pwani [PICHAZ]

Wapiga kura kituo cha Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam wakiwajibika kwa utulivu na amani asubuhi hii.
Utulivu na amani watawala kituo cha Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam
Nidhamu, utulivu, uvumilivu na amani vyatawala kila sehemu. Hapa ni Kibaha Machinjioni, mkoa wa Pwani
Hapa ni Kibaha Machinjioni, mkoa wa Pwani
Kituo cha Afisa Mtendaji wa Kata ya Olorieni jijini Arusha
Kituo cha Dispensary ya Kata ya Olorieni, Arusha.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.