Monday, October 26, 2015

Anonymous

RASMI: ZEC Yatangaza Matokeo ya Kura za Urais Zanzibar Kwa Majimbo Haya -[+VIDEO]

LEO Majira ya saa nane usiku,Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, Salim Jecha, ametangaza matokeo ya uchaguzi wa urais wa Zanzibar kwa majimbo mawili ya Kiembesamaki na Fuoni, ambapo kwenye majimbo yote mawili mgombea wa CCM, Dk. Ali Mohammed Shein, anaongoza. Zanzibar ilikuwa na majimbo 54

Baki nasi www.kandiliyetu.com Tutakujuza kila kitu kitakachokuwa kikitokea.....Kwa upande wa Tanzania Bara, Matokeo ya awali yataanza kutangazwa saa 4 asubuhi
Tazama video hii kumsikiliza Mwenyekiti wa ZEC akitangaza matokeo

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.