Monday, October 26, 2015

Anonymous

7 PICHAZ: Tazama Ukumbi Utakaotumiwa na NEC Kutangaza Matokeo ya Urais Kuanzia Saa Nne Asubuhi Hii


Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Uchaguzi Kailima Ramadhani amesema kuwa matokeo ya Raisi awamu ya kwanza yataanza kutangazwa LEO Jumatatu saa 4 asubuhi, saa 7 mchana na saa 10 jioni.




USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.