Tuesday, October 20, 2015

Anonymous

Rais PAUL KAGAME Atoa Dongo Kwa Jakaya Kikwete Kuhusu Uchaguzi Ujao Oct 25 Oct

Nimependa maneno ya Paul Kagame ameongea ukweli na siyeye tu bali ni jamii yote ya kimataifa wanasubiria huu uchaguzi kwa hamu maana sisi tumekuwa wa kwanza kuwanyoshea wenzetu vidole utadhani sisi ni malaika! Haya sasa mpira uko kwetu kupiga penati: Je, tutapaisha au tutalenga goli? 
Hiki hapa chini ndicho alichokiandika rais Kagame wa Rwanda;
SOURCE: US

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.