Tuesday, October 20, 2015

Anonymous

PIGO Lingine CCM: Kigogo Mwingine Ametangaza Kukihama Chama Hicho

Akiongea na waandishi wa habari jioni ya Jumatatu 19/10 kada wa muda mrefu mpanga Sera na mikakati wa CCM na mshauri wa chama Dr Eve Hawa Sinare ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Ukawa. Huyu ni mtu muhimu sana kwa CCM na msomi aliyekuwa anashauri mikakati ya ushindi kwa JK katika chaguzi zilizopita.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.