Rais KIKWETE Naye Keshapiga Kura....Kasema Tarehe 5 Atakabidhi Nchi [+PICHAZ]
Rais Jakaya Kikwete amesema kuwa Tarehe 5 Mwezi November 2015 atakuwa Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Rais ameyasema hayo alipokuwa akipiga kura leo katika jimbo la Chalinze-Msoga ambapo aliambatana na mkewe Mama Salma Kikwete.
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Note: Only a member of this blog may post a comment.