Saturday, October 24, 2015

Anonymous

Rais KIKWETE: Afya za Wagombea Wengine Zilitupa Wasiwasi Wakati wa Mchakato wa Kumtafuta Mgombea!

Akimnadi mgombea urais kupitia CCM, rais Kikwete amesema wakati wa uteuzi wa mgombea urais ndani ya chama walizingatia suala la afya za wagombea na wakajiridhisha kuwa Magufuli yupo 'fiti' kiafya tofauti na wagombea wengine. Haya sasa, wale mlokosa tano bora mna madhaifu gani?
#KutokaCCMKirumba

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.