Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Saturday, October 24, 2015
Anonymous
MWANZA Hali Tete: Vijana Wa CCM Wang'oa Bendera za CHADEMA
Bendera Zilitundikwa Jana za Chadema Jiji La Mwanza Leo ASUBUHI Vijana
Wa CCM wamezichomoa Zote Huku Askari Wa Usalama Barabarani Akiwepo
Wanaangalia..
Fujo wakifanya CCM Ni Sawa Ila Zikifanywa Na CHADEMA NA UKAWA Zile Gari za Washa Washa Zinaletwa.
Source: JF
Note: Only a member of this blog may post a comment.