Katika akaunti yake ya facebook Prof. Mark James Mwandosya ameandika:-
"Mitandao ya mawasiliano leo imesheheni tena taarifa za Profesa
Mwandosya kuhama. Napenda kuwathibitishia ndugu, marafiki, na watanzania
wenzangu, tena kwa ukweli kabisa, kwamba nahama, kutoka Dar es Salaam
kwenda kijijini Lufilyo, Busokelo. Karibuni sana kijijini"-Prof. Mark James Mwandosya
Note: Only a member of this blog may post a comment.