Monday, October 19, 2015

Anonymous

MUME: Mke Wangu Kapewa Nini na CCM? Mbona Hataki Kumsikia LOWASSA na UKAWA?


Nimetumia mpaka vitisho vya talaka lakini yeye ni Magufuli na Mama Bona wa Segerea.
Nimejaribu kuchunguza lakini cha ajabu ata kwenye mikutano ya kampeni haendi, yeye ni dukani kwake asbh Mpaka jioni. Hata TV  habari hana mpango nayo.
Mbaya zaidi kawabadirisha mpaka wadogo zangu wamehamia CCM.
Kura 7 za ukawa nyumbani kwangu zimepeperuka kama vumbi na ninaziona hizo zinaenda CCM.
Kikatio chake na vya wadogo zangu wamevificha ukweni.
Swali ni: Je,CCM imempa nini mke wangu jamani?!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.