Nimetumia mpaka vitisho vya talaka lakini yeye ni Magufuli na Mama Bona wa Segerea.
Nimejaribu kuchunguza lakini cha ajabu ata kwenye mikutano ya kampeni haendi, yeye ni dukani kwake asbh Mpaka jioni. Hata TV habari hana mpango nayo.
Mbaya zaidi kawabadirisha mpaka wadogo zangu wamehamia CCM.
Kura 7 za ukawa nyumbani kwangu zimepeperuka kama vumbi na ninaziona hizo zinaenda CCM.
Kikatio chake na vya wadogo zangu wamevificha ukweni.
Swali ni: Je,CCM imempa nini mke wangu jamani?!

Note: Only a member of this blog may post a comment.