Wednesday, October 28, 2015

Anonymous

MAMBO Matano Makubwa Aliyoyaongea MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD Baada ya Matokeo ya Zanzibar Kufutwa


Kwa ufupi kazungumziaa yafuatayo.
1. Mwenyekiti wa ZEC hana mamlaka ya kufuta uchaguzi

2. Anahoji kwa nini Makamu wa ZEC akamatwe na vikosi vya ulinzi na kupelekwa pasipojulikana

3.Kama uchaguzi umefutwa kutokana na dosari, basi hata wa rais wa jamhuri ufutwe kwani wote hao waliandikishwa kwenye daftari moja na kudumu zanzibar na walipiga kura kituo kimoja.

4. Hatambui maamuzi ya mwenyekiti wa ZEC kwani hakuna kikao cha tume kilichokaa kukubaliana na hilo na pia kusema kwamba hayo ni maamuzi binafsi ya mwenyekiti

5. Anaiomba umoja wa kitaifa na nchi jirani kuingilia kati

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.