Sunday, October 25, 2015

Anonymous

Mgombea Urais wa Zanzibar Kwa Tiketi ya CUF, Maalim Seif Hamad, Keshapiga Kura....Kasema Anatarajia Ushindi Wa Asilimia 72

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, tayari amepiga kura yake kwenye Kituo cha Mtoni, Chumba Na. 13.
Tofauti na ilivyokuwa kwa mgombea Urais wa CCM, Dr Shein, Maalim yeye amedai kwamba kura yake ni siri yake lakini ana matumaini ya ushindi wa asilimia 72.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.