Tuesday, October 13, 2015

Anonymous

Mgombea Ubunge wa Mikumi-CHADEMA, Profesa JAY Amefunguka Haya Kuhusu Taarifa za Kukamatwa na Polisi!

 Mgombea ubunge jimbo la Mikumi kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Joseph Haule 
Soma alichokiandika hapa...
"Sijakamatwa kama watu wanavyotangaza, Nipo NGANGARI, Sina kesi ya aina yeyote na ninaliendeleza gurudumu la UKOMBOZI mpaka kieleweke! !!
VIVA UKAWA VIVA...."

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.