Tuesday, October 27, 2015

Anonymous

Matokeo Rasmi Jimbo la MIKUMI Kwa JOSEPH HAULE Maarufu Kama Profesa Jay wa CHADEMA Haya Hapa

Jimbo la Mikumi: Joseph Haule wa Chadema, ameshinda kwa jumla ya kura 32259, dhidi ya mpinzani wake wa karibu Nkya Estomih wa CCM, aliyepata kura 30425

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.