Wednesday, October 14, 2015

Anonymous

Kuelekea Uchaguzi, NORA Naye Aibuka na Haya

Nguo zisiwazingue "hii team Lowasa changes lazima" hii nchi inataka maendeleo yanayoonekana sio yakusadikika tumewapa miaka yooote bado mnaona Watanzania mazumbukuku mnaongea mpaka mapovu ya mdomo yanawatoka utendaji zerooo hivi mnataka kusema mtu mmoja ndo ataweza kufanya kazi peke yake, team yake si ile ile wakwendreeee, Lowasa gooooo Lowasa goooo new presedent.

Mafisi nkwendreee waroho wakubwa mkiwa madarakani mnaona Tanzania ni kimji kidoooogo mnachoweza kufanya lolote kwenye uchaguzi ndo mnaina kama hii ni nchi inawananchi …pyuuuuuuuuu
Nora @ norahtanzania on instagram

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.