Thursday, October 15, 2015

Anonymous

Rais Kikwete na NEC Utata Mtupu!

Katika hali ya kuendelea kutilia shaka mchakato wa uchaguzi Mkuu Oktoba. Leo Rais Kikwete akiwa kwenye maadhimisho ya "Nyerere day" kasema watu waliojiandikisha kwenye daftari la mpiga kura ni milioni 28. 
Wakati huo huo Tume ya Uchaguzi wanatuambia waliojiandikisha ni milioni 22,751,292.
Nimekaa na kutafakari ni yupi tumwamini kati ya NEC na Rais?
Na kwanini takwimu zitofautiane ingali zipo wazi?

Hapa ndipo wananchi wanawaza kulinda kura zao maana hata wapiga kura halali hawajulikani na vyombo tunavyosisitizwa kuviamini.
By Kibo10/Jamii Forums

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.