MREMBO asiyechuja kunako filamu
Nollywood, Ini Edo amezidi kujiongezea utajiri baada ya juzikati
kufungua bonge la klabu na kulipa jina la Mimz Lounge.
Staa huyo alizindua mjengo wake huo
pande za Lekki, Lagos, Jumatatu iliyopita na umeshaanza kutumika rasmi
kuanzia juzi Jumatano. Mbali na klabu hiyo, pia kuna sehemu ya nyumba za
kulala wageni ‘gesti’.

Note: Only a member of this blog may post a comment.