Saturday, October 3, 2015

Anonymous

PICHAZ: Shuhudia SIWEMA wa Nay wa Mitego Akifanya Yake na Mpenzi Wake Mpya!

Mpenzi wa zamani wa Nay wa Mitego, Siwema aka ‘Mama Curtis’ ameonekana akila bata na mwanaume anayedaiwa kuwa ndiye mpenzi wake mpya baada ya kuachana na rapper huyo.

Mpenzi huyo wa Siwema anayetambulika kwa jina la John, alipost picha akiwa pamoja na Siwena na kuandika; Mama curtis kanuna.”

Baada ya kauli hiyo followers wake walimuomba afafanue zaidi na yeye kueleza: Daah leo tu ndo kaamka hivyo mke wangu.”
>

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.