Tuesday, October 27, 2015

Anonymous

HALIMA MDEE Afunguka Kuhusu Tetetsi za Kuwa Ameshindwa Ubunge Jimbo la KAWE

Halima Mdee amekanusha stori zilizosambaa kwamba ameshindwa kwenye uchaguzi wa jimbo la Kawe amepost mtandaoni kwake kwa kuandika haya:  
Halima James Mdee @halimamdee
Kama mlipanga kujitangazia ushindi imekula kwenu. Nina matokeo yote.. Kila kituo. Nimemkimbiza mbaya.

Halima James Mdee @halimamdee
Niko busy na matokeo... Nimemkimbiza KIPPI vibaya. Now niko oysterbay chumba cha majumuisho. Na yeye anajua!
Endelea kufuatilia hapa kandiliyetu.com kwa updates zote muhimu za uchaguzi mkuu na matukio mbalimbali kama bado hauja-like page yetu ya facebook bonyeza hapa

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.