Mgombea ubunge Jimbo la Mbagala kwa tiketi ya CUF, Kondo Bungo
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imefuta Uchaguzi wa ngazi ya Ubunge jimbo la Mbagala, Dar es Salaam.
Taarifa zaidi juu ya sababu za kufutwa kwa Uchaguzi huo zitafuata hapo baadaye.
Taarifa zaidi juu ya sababu za kufutwa kwa Uchaguzi huo zitafuata hapo baadaye.
Endelea kufuatilia hapa kandiliyetu.com kwa updates zote muhimu za uchaguzi mkuu na matukio mbalimbali kama bado hauja-like page yetu ya facebook bonyeza hapa
Note: Only a member of this blog may post a comment.