Thursday, October 29, 2015

Anonymous

Breaking News: Matokeo Rasmi ya Ubunge Jimbo la MBAGALA Yametangazwa Muda Huu Licha ya Awali KutangazwaKuwa Yamefutwa!

Jimbo la Mbagala: Ali Mangungu wa CCM,ameshinda kwa jumla ya kura 87249 dhidi ya mpinzani wake wa karibu Kondo Bungo wa CUF, aliyepata kura 77043. Hata hivyo taarifa za awali zilisema kuwa uchaguzi huo umefutwa kwa madai ya kuwepo kwa kasoro kadhaa.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.