Sunday, October 25, 2015

Anonymous

Breaking News: CCM Waanza Kufanya Yao Kiulaini

Kazi ya kutangaza matokeo imeanza na tayari CCM imeibuka kidedea huko MTWARA katika jimbo la NANYAMBA na limechukuliwa na ABDALAAHA CHIKOTA kwa ngazi ya UBUNGE na TUME YA UCHAGUZI tayari imeshamtangaza kwani amepita bila kupingwa.
CHANZO: AZAM TV

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.