Sunday, October 25, 2015

Anonymous

PICHAZ: Tazama Top 20 ya Kwanza Mastaa wa Bongo Waliothibitisha Kupiga Kura Leo October 25 Tanzania

Tunaelekea kuufunga ukurasa wa stori za Uchaguzi Mkuu Tanzania October mwaka 2015, lakini ukurasa huo hautofungwa mpaka Wagombea Udiwani, Ubunge na Rais anaepokea nafasi ya Rais Jakaya Kikwete watangazwe. 
Tumewaona mastaa wengi Tanzania kwenye Majukwaa ya Siasa wakinadi Wagombea, lakini wapo ambao hawakujihusisha na Kampeni kabisa… wote kwa pamoja wameonesha kujitokeza na kushiriki kwenye kuiandika Historia kubwa ya kushiriki Uchaguzi Mkuu uliofanyika October 25 2015 kwa kupiga Kura.

Hapa nimekusanya baadhi ya post za mastaa kwenye fani mbalimbali Bongo, ikiwemo Watangazaji maarufu, Wasanii wa Muziki na Movie, Comedy na wengine wote waliopost kwenye kurasa zao @Instagram kuonesha kwamba wameitendea haki siku ya Uchaguzi wa leo.

Staa wa Bongo Fleva long time sana, Jaffarhymes

Staa mwingine wa Bongo Fleva, Mayunga.

Mrembo Linah Sanga.

Rapper Jay Moe.

Staa wa Bongo Movie, Rose Ndauka.

Mtangazaji Mboni Masimba.

Mwigizaji Wastara.

Mtangazaji wa show ya XXL Clouds FM, B Dozen aka B12.

Rapper kutoka Kundi la Weusi, Lord Eyez.

Batuli, staa wa Bongo Movie.

Staa wa Movie Bongo, Irene Uwoya.

Mtangazaji Geah Habib wa ‘Leo Tena’ Clouds FM.

Saleh Jembe, Mwandishi wa Habari za Michezo TZ.

Mwimbaji Stara Thomas.

Faiza Ally.

Mwigizaji Natasha.

Hii ni post ya Mchekeshaji Joti akiwa na MgombeaUbunge wa Mbeya, ‘Joseph Mbilinyi Sugu’.

Shilole na mpenzi wake Nuh Mziwanda.

Mtangazaji Gardner G. Habash.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.