Tukiwa bado kwenye headlines za Uchaguzi Mkuu 2015 huku wananchi wakiwa wanasubiri matokeo ya Rais atakayetangazwa na tume ya Uchaguzi atakayeongozwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bendera za vyama vya siasa bado zimetawala katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka maeneo mbalimbali.
Note: Only a member of this blog may post a comment.