Maeneo ya Mataa - Moroko, Kikundi cha Vijana wachache wameandamana wakidai kumtaka Dk.Slaa awe Mgombea wa Urais kupitia UKAWA badala ya Edward Lowassa.
Askari wametumia mabomu ya machozi kutuliza ghasia hizo.
Una maoni gani kuhusu hili?!
Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Note: Only a member of this blog may post a comment.