Kuna mashindano mengine ni vichekesho
tu, pata picha mnashindana kupigana mabusu na mshindi anaahidiwa pesa ya
nguvu kabisa eti !!
Shindano limefanyika May 01 2015 katika
Jimbo la Yunnan, China… mtu na mpenzi wake walioshinda walipata zawadi
ya pesa ambazo ni sawa na kama Tshs. 800,000/=
Pichaz na video nilizipata mtu wangu.
Unaambiwa Shindano lilikuwa ni dakika moja tu, mtu na mpenzi wake
wanapigana mabusu kwa pozi mbalimbali na watakaovutia zaidi kwa mapozi
yao basi hao ndio washindi.
Kipande cha video hiki hapa pia mtu wangu, hii lilifanyika mwaka 2014 siku ya wapendanao China.

Note: Only a member of this blog may post a comment.