Sunday, September 20, 2015

Anonymous

Mgombea Mwenza wa CCM Akutana na Wasanii wa Bongo Movies [PICHAZ]


.Headlines za Tanzania kwa sasa ni kuhusu uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2015, ambapo leo Sept 19 wasanii wa filamu walipata mualiko kutoka kwa mgombea mwenza kupitia chama cha Mapinduzi, Samia Suluhu na kuzungumza kuhusu kampeni ya Mama ongea na Mwanao inayosimamiwa na Steve Nyerere
Hizi ni baadhi ya picha za wasanii wa bongo movie walioalikwa nyumbani kwa mgombea mwenza kupitia CCM. 



Msanii mkongwe wa maigizo, Bi Mwenda.


Pichani:Msanii wa Bongo Movie, Steve Nyerere ambaye ndie mwenyekiti wa kampeni ya Mama ongea na Mwanao.


Msanii wa filamu, Wema Sepetu akiwa na mgombea mwenza wa chama cha Mapinduzi, Samia Suluhu.


Msanii wa Bongo Movie, Batuli.

.Mwimbaji wa bendi, Ally Choki



Pichani:Steve Nyerere na Wema Sepetu wakiwa na mgombea mwenza kupitia chama cha Mapinduzi Samia Suluhu.



Msanii wa filamu, Chuchu Hans

Wastara.




Pichani:Mgombea mwenza kupitia CCM, Samia Suluhu akiwa na mkuu wa wilaya Paul Makonda (Kulia).

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.