Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Thursday, September 3, 2015
Anonymous
VIDEO: Vijana Waandamana na Kuchoma Bendera za CHADEMA Mkoani Mwanza, Ni Wale Wanaomuunga Mkono DK SLAA!
Dr SlaaBaadhi ya vijana wanao muunga mkono Dr. Slaa mkoani Mwanza waandamana na huku wakichoma bendera za chadema na kuchana kadi za chama hicho. Nimekuwekea video ya taarifa ya tukio hilo hao chini waweza bonyeza play au download
Note: Only a member of this blog may post a comment.