Leo Promota Ali babu amesikika kwenye Uheard na kusema aliongea na Rich Mavoko biashara ya Shoo iliyokuwa ifanyike Namanga lakini hakuweza kutokea wakati alishamlipa nusu ya fedha zake.
Baada ya kushindwa kutokea kwenye shoo Ali Babu aliamua kumfungulia
kesi kituo cha Polisi Magomeni, na ili kuweza kumkamata aliamua kumtumia
mwanamke ili aweze kukamatwa kisha akafikishwa mikononi mwa Polisi.
Mavoko baada ya kuzungumza na Polisi aliachiwa na Ali Babu amemtaka
amlipe milioni 5 kutokana na hasara aliyoipata ili waweze kufuta kesi.
Msikilize hapa Soudy Brown akizungumza na Promota Ali Babu kwenye U heard…
-via milardayo

Note: Only a member of this blog may post a comment.