Imenibidi nifute picha hizi (hapo juu)...watu wamepaniki sana...Jamani siasa sio vita nilikuwa nawatania na wao wakacheka na wakati naandika wapo...mashabiki... Daah .. Daah...Jamani Bungeni wanataniana vyama tofauti na sisi pia...Tunashirikiana....Mashabiki mnisamehe kama nimewakosea...Ila ningefurahi siku moja watoto hawa wakirudi kundini pamoja na yule mwingine w.....Nawapenda.
Thursday, September 10, 2015
UKAWA vs CCM: Haya Ndiyo Maneno Aliyoandika JB wa CCM Juu Ya Picha Hizi Akiwa na SHAMSA na AUNTY wa UKAWA
Imenibidi nifute picha hizi (hapo juu)...watu wamepaniki sana...Jamani siasa sio vita nilikuwa nawatania na wao wakacheka na wakati naandika wapo...mashabiki... Daah .. Daah...Jamani Bungeni wanataniana vyama tofauti na sisi pia...Tunashirikiana....Mashabiki mnisamehe kama nimewakosea...Ila ningefurahi siku moja watoto hawa wakirudi kundini pamoja na yule mwingine w.....Nawapenda.
Note: Only a member of this blog may post a comment.