Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Tuesday, September 29, 2015
Anonymous
PICHAZ: Shuhudia Watu Walivyonusurika Kufariki Kwenye Mkutano wa LOWASSA Huko Tanga Kutokana na Mafuriko Kuwa Makubwa!
Hii haijawahi kutoke kwa Lowassa katika kampeni zake, watu wamejaa hakuna mfano hadi kupelekea wengine kuzimia na kukanyagana kwa wingi wao huku wengine wakikosa hewa na kupelekea kupoteza fahamu.
Note: Only a member of this blog may post a comment.