
Mgombea
urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akijinadi kwa Wananchi
wakati wa mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Samora, mjini Iringa.
Mjumbe
wa Kamati ya Kampeni za CCM, William Lukuvi akitangaza wasifu wa
mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk Magufuli wakati wa mkutano wa
kampeni kwenye Uwanja Samora mjini Iringa.
Nape
Nnauye akiwaomba wananchi kumuombea afya Mgombea urais kupitia
Chadema, Edward Lowassa ili aje ashuhudie CCM ikishinda urais.

Dk Magufuli akimkabidhi Ilani ya
Uchaguzi ya CCM Mgombea ubunge Jimbo la Iringa, Frederick Mwakalebela
wakati wa mkutano wa kampeni mjini Kilolo, Iringa
Dk Magufuli akimnadi mgombea ubunge Jimbo la KIalenga kupitia CCM, Mgimwa wakati wa mkutano wa kampeni katika Mji wa Ifunda.
Dk Magufuli akipokea kadi za watu waliojiunga na CCM baada ya kuvihama vyama vyao jana mjni Ilula.
mwana FA akikamua iringa mjini.
Khadija Kopa, akifanya yake Iringa mjini.
Temba na chegge wakikamua iringa mjini.
Frederick Mwakalebela na MwanaFA wakipiga push up kuonesha kuwa wako fiti.

wakazi wa Ilula wakimsikiliza magufuli.
Mgombea urais kwa tiketi ya CCM. Dk. John
Pombe Magufuli jana aliendelea kupiga kampeni za kuomba kura za urais
pamoja na wabunge na madiwani wake.
Akiwa mkoani Iringa Magufuli alifanya
mikutano mikubwa katika miji midogo ya Ifunda, Irula na kisha alimalizia
kwa mkutano wa mwisho uliofanyika uwanja wa Samora uliopo Iringa mjini.
Akiwa Iringa mjini Magufuli aliwanadi wagombea wake akiwemo Frederick
Mwakalebela anayegombea jimbo la Iringa mjini.
(Habari/Picha: Richard Bukos)
Note: Only a member of this blog may post a comment.