Monday, September 14, 2015

Anonymous

MUNGU MKUBWA! Muimbaji wa Longombas, Christian Awashukuru Mashabiki Wake Baada ya Kuondolewa Uvimbe Kwenye Ubongo na Kupona

Mwimbaji wa kundi la Longombas la nchini Kenya, Christian Longomba amewashukuru mashabiki wake waliokuwa wakim-support kwa maombi kipindi chote cha upasuaji wa kuondolewa uvimbe uliokuwa kichwani July mwaka huu.
Baada ya upasuaji wa pili kwenda vizuri na kufanikiwa kuondolewa uvimbe huo kwenye ubongo, amesema kuwa hivi sasa hali yake ni nzuri.
Mwimbaji huyo hakusahau kuwashukuru mashabiki wake kwa sala zao wakati yuko kwenye kipindi kigumu.

Kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii amepost picha hii (hapo juu) na kuandika;
“JOIN US IN CELEBRATING THE END OF A CHALLENGING JOURNEY THAT I CHRISTIAN LONGOMBA CONQUERED BY THE POWER OF THE ALMIGHTY GOD. ITS THE FINAL COUNTDOWN, STARTING TUESDAY THE 15TH 12:00 AM EAT.WE WILL HAVE A 3 DAYS COUNTDOWN LEFT OF RADIATION ANCOLOGY TREATMENT.
THIS JOURNEY WOULDN’T HAVE BEEN POSSIBLE WITHOUT THE SUPPORT FROM OUR FANS, FRIENDS AND FAMILY. NOW WE WANT TO SHOW OUR LOVE BACK TO SOME LUCKY FANS.WE CHALLENGE YOU TO FIND A CREATIVE WAY OF SHOWING YOUR CONTINUAL SUPPORT ONCE MORE BY INCORPORATING A POSTER, BANNER OR HUGE SIGN STATING “I STAND WITH CHRISTIAN LONGOMBA” DON’T FORGET THE HASH TAG ‪#‎GODSTRONG‬, AND ALSO TAGGING CHRISTIAN LONGOMBA ACROSS ALL SOCIAL MEDIA( IG-CHRISTIAN_LONGOMBA, TWITTER – @LONGOMBAC, AND FACEBOOK-CHRISTIAN LONGOMBA) WE WILL BE SELECTING A WINNER WITH THE MOST CREATIVE PHOTO.
WINNER WILL BE ANNOUNCED ON MONDAY THE 19TH 12:00EAT AND WILL RECEIVE. LONGOMBAS CHUKUA ALBUM, OUR NEW UNRELEASED EP THAT INCLUDES OUR NEW SINGLE “PEPERUKA” A LOMGOMBAS AUTOGRAPHED POSTER, A LONGOMBA’S T-SHIRT, AND A CHRISTIAN LONGOMBA AUTOGRAPHED POSTER.”

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.